kupatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  2. Analogia Malenga

    Afghanistan: Mawasiliano ya Simu Kupatikana Saa Saba Kwa Siku, Kampuni Zaamrishwa

    Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tisa mchana. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Wataliban kujua kuwa simu hutumika...
  3. lee Vladimir cleef

    Kama leo kuwa bahati tu, nikakutana na Samia na akanipa nafasi nimpe sababu zangu kwanini aruhusu kupatikana Katiba Mpya, sababu zangu ni hizi

    Sababu mama ni kuwa Katiba mpya ndio Tiba ya matatizo yote ya Tz,kama ilivyoelezwa kwenye rasimu ya Jaji Warioba na mama alikua Mwenyekiti wa Bunge la katiba anajua zaidi yangu faida za katiba mpya. Ila tatizo lililopo ni CCM kutaka kuendelea kutawala hata kama hawana ridhaa za wananchi, na...
  4. B

    Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

    Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea. Wananchi...
  5. Idugunde

    Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  6. GENTAMYCINE

    Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

    Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
  7. jitombashisho

    Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  8. C

    Netflix kupatikana bila malipo nchini Kenya

    Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya. - So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18...
  9. MAHANJU

    Kupatikana Katiba Mpya katika taifa lolote huambatana na matukio mabaya, maumivu makali

    Mimi nawashangaa sana wanachama CHADEMA na wafuasi wao kwa ujumla kulalamika mitandaoni kwa kukamatwa kwa sababu ya kudai katiba mpya, katiba mpya duniani kote hupatikana kwa maumivu makali sana yanayoambatana na watu kuumizwa na hata wengine kupotea.Kama mnadai katiba mpya haifikirii haya bora...
Back
Top Bottom