kupangisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RRONDO

    Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
  2. F

    House4Sale 5 units nyumba za kupangisha zinauzwa tsh milioni 35

    Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo Kiluvya Makurunge, Pwani karibu na kwa masister au kwa Sumaye. Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi
  3. Lycaon pictus

    Kihasibu kodi ya nyumba ya kupangisha inatakiwa kuwa calculated namna gani?

    Tukiachana na vitu kama mahali ilipo nyumba na uchumi wa watu, kihasibu kabisa kodi ya nyumba inakuwa calculated namna gani?
  4. Zekoddo

    Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

    Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha. Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
  5. Travis 1

    Kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba, je, ni nini ungependa kuona au unapendekeza kiwemo kwenye nyumba za kupangisha?

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji. Kwa mfano, ninafikiria...
  6. stabilityman

    Hii nyumba hadi saizi hapo imejengwa imekula mil 17

    Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala Hapo ni material na ufundi Kama unataka tukujengee Utuchek 0743 257 669 Raman Mahesabu Ujenzi Tuchek Ofisi zetu zipo banana ukonga wa.me//255743257669
  7. 1Africa54

    Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  8. stabilityman

    Ramani ya nyumba za kupangisha

    Ramani ya kupangisha Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo Chumba 1 self Chumba 1 havina choo Seble Jiko Choo cha wageni Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima) Vyumba vyake ukubwa ni standards Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji...
  9. A

    Vyumba vya kupangisha bajeti 30M

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka wadau, Nina million 30 nipo dar natamani nijenge vyumba kadhaa vya kupangisha vya single ila self sasa kwa bajeti hiyo inaweza kutoa vyumba vingapi? Nakaribisha maoni na ushauri
  10. Shark

    Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v/s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha)

    Kwema Wakuu, Za weekend? Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja. Alternatively hizi 20,000,000/- kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata...
  11. mlinzi mlalafofofo

    Mikoa ipi inalipa kuweka nyumba ya kupangisha?

    Wakuu mikoa inatofautiana kwa vipato vya wakazi wake. Sina shaka kuhusu Dar linapokuja suala la mzunguko wa hela. Tupeane abc za mikoa yenye vipato vilivyosimama (ukiondoa Dar) na kuna hela nzuri ya pango kwa hizi nyumba za kawaida za kupangisha (ambazo sio lodge).
  12. Nyumba Nafuuu

    Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  13. Aliko Musa

    Elimu ya Ulinganisho wa Uwekezaji Kwenye Vipande vya UTT-AMIS na Majengo ya Kupangisha

    Tangulizi Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya kupangisha vimekuwa maarufu kwa wawekezaji. Uwekezaji huu miwili unatoa fursa tofauti zenye faida...
  14. ELI COHEN

    Tupambane tuweze kujenga angalau vijumba kama hivi

    Tafuta uwanja mkubwa sasa: Chumba self Kasebure Vyakutafatana Bachelor anakupa pesa
  15. Aliko Musa

    Sababu 20 Kwanini Unatakiwa Kumiliki Nyumba Ya Kupangisha Kwa Kuzingatia Mahitaji Ya Soko Mahalia

    Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
  16. Aliko Musa

    Jinsi Mama Fatma Alivyotumia Mbinu Ya Kipekee Sana Kuendesha Majengo Ya Kupangisha

    Utangulizi. Mama Fatma ni mama mwenye nyumba anayeheshimika sana katika kijiji cha Mivumoni. Ana majengo mawili ya kupangisha, ambayo yamejengwa kwa mbao imara na mabati ya kijani. Kila mwezi, wapangaji wake wanafika ofisini kwake, ambayo ni sehemu ya nyumbani kwake, kulipa kodi na kumshukuru...
  17. Aliko Musa

    Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  18. T

    Naomba ushauri juu ya namna nzuri ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  19. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
Back
Top Bottom