kuongea kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika namba 11 Afrika na 77 duniani kwa kuongea Kiingereza kwa ufasaha

    Taasisi ya EF Education First imetoa orodha ya viwango vya ufasaha wa lugha ya Kiingereza ( EF English Proficiency Index) kwa mwaka 2025, ambapo Tanzania imeorodheshwa katika nafasi ya 11 barani Afrika. Orodha hiyo inaonyesha Afrika Kusini ikiongoza, ikifuatiwa na Zimbabwe katika nafasi ya...
  2. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Hammo Rapper apigwe marufuku kuongea kiingereza. Analitia aibu taifa

    Nimemwona Hammo rapa akiongea kiingereza kibovu kiasi kwamba analitia aibu taifa. Majirani zetu Wakenya wakiona hii ndio watatucheka kabisa. Wizara inayohusika na sanaa impige marufuku Hamorapa kuongea kiingereza. Ni ushauri tu nimetoa.
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna office nimeitembelea leo,office nzima mpaka mkurugenzi hawajui kuongea Kiingereza

    Hii nchi ina vituko sana. Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta. Cha ajabu kuna office tumeenda leo,office nzima hakuna anayeweza kuongea kiingereza kizuri,hadi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jini la kuongea Kiingereza lapanda na kukataa kutoka

    Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila kujua na kuiingiza nchi yetu kwenye mikataba ya hovyo.😀😀😀 Jini hili la mzee wa Buza linaitwa RAS...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

    Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili. Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake...
Back
Top Bottom