kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

    Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi? Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu. Britanicca
  2. JamiiForums Tanzania DR Congo hali ilikuwa tete sana, tangu mimi nizaliwe sijawahi kuona matendo kama yale ambayo tulikuwa tunafanyiwa sisi

    Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia inasubiri kuona insurrection ya Azimio. Kuona kama vijana wake Raila watathubutu kufanya insu-erection.

    Hali imekuwa very tense Kenya. Raila amekuwa na wasiwasi mkubwa kutangaza maandamano,ameona matatizo mengi,ameona mambo mengi yanayoleta hofu,lakini vijana wake wameonekana wako tayari kumchezea simba masharubu. Kwa hiyo tunasubiri kuona jambo gani litatokea. Inaonyesha masses wana akili ya peke...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

    Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao. wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate...
  8. JamiiForums Tanzania Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  10. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  13. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana kuona mwanaume eti anaogopa kuoa

    Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli? Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa? Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa. Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

    Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na kujipendekeza kwa kiwango cha juu kabisa, bado hatutakiwi! Tufanyeje?

    Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa! Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi! Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema,Tumesikia sana na kuona kuhusu Magufuli. Mna nini Jipya?

    Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli. Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Sitakubali kuona Mwizi au Kibaka yeyote apigwe hivi hivi..

    Habari. Uzi mfupi wa taarifa. Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi.. Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi. Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie. Usiku wa jana...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kuona wanachama kindakindaki wa ACT na CHADEMA wakijiunga na CCM. Hongera Dkt. Samia kwa kuwarejesha kundini kondoo

    Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la kutofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kutenguliwa nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kujua mtazamo...
  19. JamiiForums Tanzania Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

    Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49% Huyu jamaa ukitaka kujua ni tapeli mwangalie timu ikianza kushinda mechi zake anakuwa active kwenye mitandao ikichapwa anasepa. Sasahivi anapigia mahesabu pesa ya simba...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…