Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata vitendea kazi kwani wanawake wakienda kuomba mikopo wanaambiwa intaneti ipo chinihawawezi kupata huduma...
Kumekuwa na mabadiliko ambayo Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya hasa ya kubadili vyeti vya zamani, ambapo vyeti hivyo vinahusisha hata vyeti vilivyotolewa miaka ya hivi karibuni yaani Miaka ya 2019-2020.
Mchakato wa mabadiliko haujatolewa elimu kwa Wazazi ambao ndio hasa...
usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
Moja kwa moja..
Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ?
Naomba Msaada wakuu..
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
Poleni sana ndugu zangu, naona maisha yamewapiga sana mpaka nafikiria kufungua miradi mingine niwaajiri wote.
Tuachane na hayo, leo nilikuwa kwenye bank moja nikashuhudia kitu cha kushtua kidogo, jamaa alikuwa anajaza form ya mkopo, yaani hasomi terms and conditions yeye anaoneshwa saini hapa...
Habarini za kazi wadau!
Kwa aliefanikiwa kufungua account ya kuombea mkopo wa vyuo bodi ya mikopo anisaidie, nashindwa kufungua account pale kwenye kipengele cha kuset password baada ya kuset password yangu inagoma kusubmit inaload kwa muda mrefu sana unaweza ukaisubiria hata nusu saa lakini...
Habari,
Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda.
Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.