kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  2. S

    Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

    Juzi hapa nilikuwa Uturuki. Ni nchi ya watu ambao dini yao inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, lakini wanawake katakata hawakubali kuwa katika ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na wanaume wao wanaelewa hilo. Nimewaheshimu sana wanawake wa Uturuki kwa kujitambua kwa namna hii. Hili ni jambo ambalo...
  3. Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

    "Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini". "Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari Chanzo: EATV
  4. H

    Kwanini Mapadri na Masister hawaruhusiwi kuoa au kuolewa lakini wanasisitiza wenzao waoe na kuolewa?

    Habarini, Hili jambo linanitatiza sana,sana iwapo wafuasi wa yesu wanaoa na kuolewa kupitia kwa mapadri na masister inakuwaje wenyewe mapadri na masister wasioe ma wasiolewe? Kila kiungo cha mwili kiliumbwa na Mungu kwa makusudi ma kazi yake sasa hawa mapadri ma masisyer siga ya kwanza ni wawe...
  5. Yule binti aliyekuwa anataka aje kwetu kuolewa Sasa ninae Kama mke wangu

    Wakuu Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa Baada ya muda kidogo binti akawa ananipigia simu anadai kuwa licha ya wazazi kua hawakuelewana anataka aje kwetu kuolewa no matter what...
  6. Mliooa na kuolewa tujuzeni tafwadhali

    Mlifanya hizo harusi zenu mkiwa na miaka mingapi??
  7. Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  8. Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

    Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu. na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili...
  9. Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

    HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi 1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
  10. Inasemekana Ilhan Omar aliandaa shughuli ya kuolewa na kaka yake ili ahakikishe kaka yake asitupwe nje ya Marekani na kurudi Somalia

    Kiongozi wa jamii ya Somalia iliopo USA, Abdihakim Osman anadai Ilhan Omar alikiri Ilhan kuolewa na kaka yake, Ahmed Elmi, ili kupata nafasi ya kuendelea kuishi Marekani. Osman: "Alisema alihitaji kupata documents ya kuhakikisha kuendelea kuwepo USA kaka yake, sisi tulifikiri alimaanisha...
  11. Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  12. Je ni sawa kuolewa na kaka yako wa kambo?

    Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na miaka 9 na mtoto wa kike alitokea upande wa mume na alikua na miaka 4. Hawajachangia damu ila wote...
  13. Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

    Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
  14. Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  15. Uzi maalum kwa waliokosea kuoa na kuolewa au kuwa kwenye mahusiano

    Ndugu zangu salaam Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano. Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae. Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
  16. Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari...
  17. Kama unataka kuolewa na Bilionea, kama alivyoolewa mke wa Mwamposa, ruka hapa fastaa

    Mwaka 2025 usikae kihasara Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE? Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela We zubaa hapo, shauriako...
  18. Hakika tunawachezea na kuwaacha ili tukaoe waliochezewa na wanaume wenzetu.

    Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya. Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo. A) WANAUME AMBAO HAMJAOA Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
  19. Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

    Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
  20. Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…