kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

    Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa. Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

    Habari zenu ndugu zangu. Nakuja kwenu na Id mpya ili niweze kuwa muwazi kwenu nipate msaada. Naona karma inaninyemelea na sielewi nifanye nini ndugu zangu. Mimi ni kijana wa miaka 31. Sijaoa lakini nimekuwa na girflriend wengi kwa wakati mmoja bila wao kujuana. Shida yangu ni hii: Katika...
  4. JamiiForums Tanzania Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  5. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anaoa lakini bado anategemea nyumbani asaidiwe?

    Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe. Ni kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania Hatma ya binti Monica ni ipi?

    Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

    Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa. Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lilikua lengo lake kuniuliza kama nimeoa au bado?

    Kuna msichana nikikutana nae maeneo flani katika mizunguko ya hapa na pale nikatokea kumpenda, ingawa sikumuweka wazi palepale ila nilifanikiwa kupata mawasiliano yake na yeye mwenyewe ndie alienipa. Mwanzoni tulikua tu kama marafiki wa kawaida ila baada ya kupita kama wiki moja nikaona...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera kwa wote walioamua kuoa

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi! Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

    Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wale vijana wa kiume, mnawezaje kusema sitakuja kuoa mwanamke aliyezaa?

    Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili. Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi wote wawili mpaka nimekuwa mtu mzima. Kufika kwangu hapa ni Juhudi za bila kuchoka za Mama na Baba...
  12. JamiiForums Tanzania Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

    Wakuu mimi ninavyofahamu ni kwamba ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke ya kuwa mume na mke. Lakini makubaliano haya yawe yamedhibitishwa eidha na watumishi wa Mungu au viongozi wa kimila kwa mujibu wa ndoa za kimila au na Hakimu kwa mujibu wa ndoa za kiserikali zote hizi wakiwepo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hamtafikia hii hatua mana mnapenda Slope(Neutral)

    Za kazi wadau. Maisha yanahitaji fedha sana kuyaendesha.Ila wasichana mmekua na tamaa na kuweka wazi shida zenu mapema zaidi. Kamati kuu kama tulivyokubaliana, hakuna kuwaoa watu wa dizaini hii, chezea dump kule.
  14. JamiiForums Tanzania Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

    Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

    Igweeeeeeeeeee, Ndugu zangu kuanzia leo nimeacha kabisa ulevi kunywa beer pamoja na kuchukua wanawake tofauti tofauti. Ndugu zangu wiki lililopita nilikutana na mwanamke mmoja jijini Dar es salaam tuliwahi kukutana nae kwa mara ya kwanza manispaa ya Kahama kwenye bar inayoitwa The fox bar and...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

    Habari za muda huu wana JF! Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo. Nimempenda mdogo wake na mke wa kaka yangu. Je naweza kuoa? Kimaadili imekaaje hii? Msaada tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanaoamini mapenzi ya kweli kama mimi?

    Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano. Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata...
  19. JamiiForums Tanzania Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

    Mambo vp jamiiforums. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu. Wale mliolelewa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna athari kuoa mwanamke anayeanza mahusiano kwa vizinga

    Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa. Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…