kununua gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kununua gari used

    Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M. Gari ambazo nazifikiria ni 1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000 2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000 3.Nissan march cc 1300 4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000 5. Toyota starlet cc 1300 6...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua gari aina ya SUZUKI LANDY

    Wakuu habari za jioni! Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
  3. JamiiForums Tanzania Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak... Je...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

    Soma hapa:-
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kununua gari isiyoizidi 16m

    Habari za jioni ndugu zangu, Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa magari nimevutiwa na Toyota Runx, Allex na Premio ( Mawazo yanaweza kubadilika kulingana na ushauri...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kununua magari ya mkononi

    Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo. Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi.. Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa udalali ni mwingi.. Maneno kama AC unaganda.. Gari ya kufugwa.. Gari ya Mhindi..Namba D hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe ndo maana Moyo wangu ulikuwa unasita kununua gari

    Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa . Hakika niliona Mbali. Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri Mkubwa niliopata leo wa Kununua Gari. Hili ndo gari litakalikufaa.

    Hii gari haina complications kabisa kwa maelezo ya mtaalamu mmoja mwenye uzoefu wa hii gari kwa miaka mingi. Anasema hii gari akienda kufanya service ya engine oil. Huwa hahangaiki kuulizia oil gani n.k. anasema ni oil ambayo kwa siku hiyo itapatikana hapo garage ndo itawekwa na kagari wala...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kununua gari

    Wakuu naomba ushauri wenu. Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017. Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja. Chaguo langu la...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  14. JamiiForums Tanzania Nilivyosave Milioni 10 kwa miezi 6 na kujenga nyumba mbili na kununua gari zuri

    Wakuu salaam, Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani.. 1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini pamoja na benki wakati wa kutoa 2. Tulishusha maisha tukawa tunaishi nyumba ya kupanga ya chumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…