kunduchi

Kunduchi is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 75,016. Kunduchi, near its long beach, has a number of hotels including Kunduchi Beach Hotel, Wet' n Wild, Ununio beach with active night life.
Local people depend on sea fishing: the coastline attracts fish to be near the shore, so fishermen don't need to go far to catch fish.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    KERO Wiki mbili hakuna maji maeneo ya Kunduchi na maeneo ya karibu

    Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
  2. Dalali_wa_kimataifa

    NYUMBA MPYA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH DARESSALAAM TANZANIA,NI NYUMBA NZURI SANAAA,NA IMEJENGWA KWA UBORA SANA,BEI NI BILLION 2 PESA ZA KITANZANIA

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first...
  3. F

    KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

    Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili...
  4. Dalali_wa_kimataifa

    House4Sale Nyumba Inauzwa ipo Kunduchi Beach. Bei ni Tshs Bilioni 2

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first floor...
  5. Mookiesbad98

    Foleni kubwa Kunduchi Mbuyuni leo nzima

    Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
  6. Kinoamiguu

    Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    NYUMBA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH,BEI NI BILLION 2,MAONGEZI YAPO, SIMU 0758844717

    GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH ROOMS 6 ZOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO,STOO DINING, PUBLIC TOILET PLOT SIZE SQM 1720 INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. Kinoamiguu

    LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

    Wandugu kwema? Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO. Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
  9. Kishimbe wa Kishimbe

    volkano ya kunduchi - serikali imetoa ufumbuzi gani?

    VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua kitu gani kisayansi? kweli hilo tope linatokana na volcano au ni udongo mfinyanzi tu uliozidi maji...
  10. Waufukweni

    TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  11. A

    KERO Kero ya miundombinu mibovu Kunduchi - Mtongani (Dar)

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu.. Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye makazi ya watu inazidi kimeguka hali inayoweka nyumba zao katika sintofahamu.. Eneo hili limeharibika...
  12. M

    Yale matope ya moto yaliyokuwa yanatokea ardhini kule Kunduchi yaliishia wapi?

    Mwaka Jana nakumbuka kulitokea chemchem ya Matope maeneo ya Kunduchi Dar es Salaam. Matope haya yalikuwa kama Uji yakitokea CHINI ya Ardhi. Tuliambiwa uchunguzi unaendelea, sikumbuki / pengine sijawahi kusikia taarifa ya Kitaalam kwamba kile ni kitu gani! Naomba mnikumbushe!
  13. Kinoamiguu

    Askofu Gwajima kuongoza mkutano wa maombezi Kunduchi Mecco leo Jumapili

    Wanajamvi, Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi. Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi wanataka kubomolewa nyumba zao kupisha kinachoitwa mradi. Mara kadhaa huhudi zimefanyika kumualika...
  14. K

    Utata Mradi wa Mwendokasi (Dart- Phase 4) unaohusisha kuchukuliwa eneo la Kunduchi- Mecco Mtongani

    Wananchi wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi (DART -PHASE 4). Mradi huu umezua sitofahamu kati ya wananchi na waliteuliwa ku simamia mradi husika. Mradi ulitakiwa kuanza 2020 na eneo husika lilishatengwa (kiambatanisho namba 1). Tatizo linakuja ni...
  15. M

    Tunaomba taarifa rasmi kama Wananchi wa Kunduchi tunatakiwa kupisha mradi wa Mwendokasi

    Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi. Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
  16. Superbug

    Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

    Kuna mradi wa nyumba 83 unajengwa hapa Kunduchi beach, Je mmiliki ni nani?
  17. Roving Journalist

    Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  18. D

    Manispaa ya Kinondoni Ondoeni au futeni kabisa minada ya Kunduchi na ule wa Boko-chama

    Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach! Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama! Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...
  19. Jidu La Mabambasi

    Ajali ya magari junction ya Salasala, Mbezi Beach na Kunduchi

    Hii imetokea leo asubuhi Salasala junction, Mbezi Beach/Kunduchi. Ile down ya Kunduchi, gari inaelekea imefeli breki.
Back
Top Bottom