kumtukana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

    Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka tandale mpaka Mbezi salasala DSM. Rich, alikuwa na mazoea na Mama Amina, maana mama Amina alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Heche amjibu Paul Chacha: Kusema Wasira amezeeka ndio kumtukana?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka. Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"? Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

    Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya; 1. Je...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mirija ya wanaharakati ilipokatwa na Hayati Magufuli wakaanza kumtukana, alipoingia Samia wakadhani ni mteremko

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili wa Guinea wafungiwa kushiriki AFCON kwa kumtukana mwamuzi

    Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano. Nahodha wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Laana ya kumtukana kadinali Pengo inamtesa anaishi kama digidigi

    Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana halafu ubaki salama. Ikumbukwe yeye uaskofu wake haujulikani umetoka wapi na umetokana na nini...
  9. JamiiForums Tanzania WATANZANIA KUMTUKANA RAISI NA KUJENGA CHUKI NAE HAIWASAIDII

    PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100% HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO WA KULAUMIWA. KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI. NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI WEWE MWENYEWE...
  10. JamiiForums Tanzania Kuifungua X ni kumtukana Elon Musk.

    Kumtukana bila sababu. Kumuhusisha na hackers wa Gen X au whoever it is is troubling our country. And this is not the first time the government is arguing with Elon. Recently lilikuwepo tatizo kama Hilo. Inaweza kuleta matatizo. What insult is there ukisema Rais Samia amefariki? Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumtukana mwanamke

    Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
  12. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Lissu ameendelea kumtukana Mbowe

    https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe. Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

    Hili jambo Huwa linanishangaza Sijui Huwa ni pepo au vipi Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka wa Tisa huu sijampiga wala kumnyooshea kidole Wakati kumtukana Binti Kimoso

    MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati hizô siô miaka michache. Katika miaka yote hiyo tumepitia mambo mbalimbali yaliyotujenga na yapo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tuliwahi kumsajili beki mmoja akiitwa Mohamed Ouattara lakini tukaishia kumtukana, tusubiri uwanjani ndio tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba...
  16. JamiiForums Tanzania Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  17. JamiiForums Tanzania Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
  18. JamiiForums Tanzania Namsikitikia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  19. JamiiForums Tanzania Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…