kumpeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    Naombeni kujua faida ya kumpeleka mtoto shule akiwa na miaka 3

    Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke. Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani naipata nikikawahisha kakiwa na miaka 3
  2. Genius Man

    Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  4. Bushmamy

    Kilimanjaro; Wanakijiji waiomba serikali mtuhumiwa wa ubakaji watafute pa kumpeleka

    Wananchi wa kijiji Cha Kwa Tito mkoani Kilimanjaro wameomba mtuhumiwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa akimbaka na kumlawiti mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 7 na kumsabibishia ulemavu kuhamishwa hapo nyumbani na kupelekwa sehemu anapostahili kutokana na kuwa ana tatizo la...
  5. Kijakazi

    Gorrila, eti wanaume wangapi wanaweza mshinda na kumpeleka chini?

    eti wanaume wangapi wenye nguvu wanaweza shindana na gorrila na kumshinda kwa kumpeleka chini? nimesikia mpaka wanaume 100 eti ndiyo wanaweza mpeleka gorrila chini, nini maoni yako ? … kama zikipigwa wanaume vs gorilla
  6. Waufukweni

    Shija Richard, mtia nia Urais TFF kumpeleka Rais wa TFF kamati ya maadili

    Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja. Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
  7. secretarybird

    Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  8. technically

    Tetesi: Walimteka mdude na kumpeleka kusikojulikana nao wapotezwa ili kupoteza ushahidi

    Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!! Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police...
  9. Faana

    Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  10. Mateso chakubanga

    POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

    Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi. Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure. Rais Putin ni mshirika mkuu...
  11. matunduizi

    Kumpeleka mtoto Boarding shule ya msingi ni Kuua vipaji vyake....

    Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana. Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa. Muoga sana. Ujasiri wote...
  12. Nobunaga

    Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
  13. Rorscharch

    Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  14. V

    Ni sawa kumpeleka mtoto wa miaka minne boarding?

    Kwema wakuu! Nina binti wa miaka minne ambae nimeamua kumpeleka boarding kutokana na kukosa maelewano mazuri na mzazi mwenzangu hali iliyopelekea nitengane nae na kubaki na mwanangu. Niliamua kuchukua uamuzi huo baada kutokana na mda mwingi kuwa bize na kazi na kukosa mda wa kutosha kukaa nae...
  15. excel

    Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Naomba ufafanuzi ni shule gani yenye ufaulu mzuri kwa ngazi ya O level naweza mpeleka mwanangu? Nisaidieni hapa wadau
  16. figganigga

    Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  17. F

    Naomba ushauri wakulungwa. Toto kiburi nataka kumpeleka Kizuka shule ya TPDF

    Kuna mtoto wa ndugu yangu ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu Kidato cha 4. Kapangiwa college, kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college. Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi. Mimi niko mbali na anakoishi. Nimewaza aende Form 5 shule za...
  18. M

    Gharama za kumpeleka Malisa Kilimanjaro zingetosha kuzikisha familia 5 zikizoathirika Kwa Mvua Kwa mwezi Mzima

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii. Kwa vyovyote vile Kwa umaarufi wa Malisa Polisi ni lazima watachukua tahadhari ya usalama wao na wake...
  19. Zakamwamoba

    Watu wanaodhaniwa kuwa Polisi wamkamata Sheikh Abdulrazack Mohamed na kumpeleka kusikojulikana

    Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana. Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
  20. chiembe

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Back
Top Bottom