kumlea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kumlea Mtoto Miaka 10 halafu mwanawake akuambiwe siyo wako

    "Mhe. Mwenyekiti, huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unaolea miezi tisa. Una—anazaa mtoto, unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakombana kidogo anakwambia, 'Hata huyo mtoto mwenyewe sio wako!' Ipo namna mwanaume yeyote ipo namna ambayo mwanaume anaweza...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kumlea huyo mtoto mpeleke kwa baba yake sio unasumbua watu

    Ni ngumu kuwaelewa wanawake weusi wa kibongo . MTU anazaa Ila inapofika hatua ya malezi anaanza sumbua watu kuhusu matunzo wakati aliyemzalisha yupo Anakula bata .
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kumlea au unamleaje mwanao wa kike katika nyakati hizi za ki-porno porno.

    Utupu umekuwa glorified Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu. Akiingia kwenye simu yako anaona ni jinsi gani mwanamke aliekaa kimalaya malaya anavyokuwa entitled katika jamii zaidi ya...
  4. Adharusi

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

    https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania wenye kipato cha chini .amewashambulia sana wanaume wauza uduvi na kuwaambia wataolewa . Kumbuka...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  6. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Naomba ujuzi Jinsi ya kumlea mwanangu wa kike

    Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  8. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo: Jitahidi kumlea katika njia impasayo!

    Na: Denis Mpagaze ______________________________ Kulea ni kazi nyie. Binti mmoja alilelewa katika maadili mazuri sana, ukubwani akapata mchumba kama unavyojua tena binti mwenye tabia nzuri kuolewa ni kugusa tu maana hata mwanaume mwenye tabia mbaya atataka mke mwenye tabia nzuri. Basi bwana...
  9. ragin

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kumlea mtoto akiwa na mzazi mmoja?

    Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili. Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM Gwajima ni Manara wa Kisiasa aliyeko Kwenu, ila ana Mapenzi ya dhati huko UPINZANI endeleeni Kumlea ili aje Kuwachafua na Kuwavuruga zaidi

    Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri. Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na hakukubali na hizo Sifa anazokupa ni za Kinafiki na anakudharau mno. Kama kuna Sumu kubwa, mbaya na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Haji Manara alipaswa kukamatwa; Serikali endeleeni tu kumlea huyu

    "Rangi ya Kijani ni rangi ya Dini ya Kiislamu na Mtume na hiyo rangi Nyekundu ni ya Shetani na wale upande wa Pili", Haji Manara. Chanzo: EFM Sports Headquarters leo. Kwahiyo kwa mujibu wake Haji Manara ni kwamba Waislamu ndiyo wana Dini ya Mungu na Yanga SC wote kwakuwa ni ya Kijani ila...
  12. Suprise

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    Morning. Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake. Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi...
Back
Top Bottom