kumchukia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Wanaomlilia Magufuli na kumchukia Samia, ni wanafiki wakubwa

    Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai...
  2. M

    Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Mimi nashangaa na kujiuliza sana. Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii? Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu ya huyu mstaafu, ufisadi, kuharibu chama chao hadi kifo cha Magufuli na wasaidizi wake. Yupo kimya.
  3. Moto wa volcano

    Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  4. The Burning Spear

    Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

    Hi great Thinkers. Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
  5. Vichekesho

    Japo Yanga inamtenga na kumchukia lakini Mzee wa Utopolo anabaki kuwa shabiki wa Yanga mwenye mvuto zaidi

    Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi. Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
  6. G

    Huogopi kumchukia ambaye hujawahi kumfahamu

    Mtandaoni kuna mambo Mengi sana sana. Wengine wanaichukia kisa vita yake na Palestina. Tusi ambatanishe ubaya kwa kuambatanisha vielelezo vya dini. Hata Congo wanapitia magumu na ni majirani hamuwasemi wazungu walio nyuma ya haya yote. TUBADIRIKE! Huogopi kumchukia mtu ambaye hata hujawahi...
  7. Rule L

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa kilichonikera ni kwamba alinipigia simu akaomba nimsave kiasi fulani hivi, nikamwambia kwasasa nipo mbaya...
  8. GENTAMYCINE

    Mzee Butiku umekumbwa na nini hadi leo hii umsifie hivi marehemu Lowassa ambaye ulitokea kumchukia sana mwaka 2015?

    "Lowassa alikuwa ni Kiongozi makini,, hakuwa na Maadui na alipendwa na Watu wengi japo Kibinadamu kuchukiwa au kutokubalika na Wengi ni jambo la kawaida" Mzee Joseph Butiku Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Kada Tukuka wa CCM na Mmoja wa Think Tanks wa Baba wa Taifa Mwalimu...
  9. G

    Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  10. Ibrahimeliza

    Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  11. Mawematatu

    Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

    Muda unakwenda kwa kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa. Kuna jambo linanifanya...
  12. Linguistic

    Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

    Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito. . Namchukia sana kutoka rohoni mwangu. . Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM. . Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
  13. BabaMorgan

    Kumchukia mtu kutokana na mafanikio yake ni kufilisika kwa uwezo wa kufikiri

    Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa? Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
Back
Top Bottom