kumchangia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Kuna watu eti wanataka kumchangia yule Ng'ombe

    Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani. Na kama aliuawa...
  2. U

    Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi.

    Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
  3. Mganguzi

    Tunaomba namba ya mke wa mdude iwekwe hadharani tuweze kumchangia ambacho tutajaaliwa,kuendelea kumuonea huruma haitasaidia kitu kwa familia yake

    Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya...
  4. L

    Mbowe Aendelee Kung'ang'aniwa Agombee Uenyekiti.BAWACHA Kumchangia Pesa Yote ya Kuchukulia Fomu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba Mwenyewe na jabali la siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki aliyejitoa kwa jasho na Damu kuijenga na kuiimarisha CHADEMA mpaka ilipofikia leo hii Ameendelea kung'ang'aniwa na wana CHADEMA ili aweze kugombea nafasi ya uenyekiti wa...
  5. President of China

    CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. L

    PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  7. L

    Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  8. Crimea

    Wafuasi wao wa Twitter tu walitosha kumchangia Lissu mabilioni ya pesa

    Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari! Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter Maranja Masese wafuasi laki...
  9. kevin strootman

    Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania. Nataka kujua hivi hizi surgery...
  10. Chakorii

    Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

    Habari jamani, mnaendeleaje? Hebu acha niende moja kwa moja kwenye hoja. Iko hivi, miezi kama miwili au mitatu katika kupiga stori za hapa na pale one of my colleagues (KE) akaniambia unajua fulani anaolewa na fulani (wote wanafanya kazi pamoja)? Nilifurahi kwa mshangao maana sikuwahi kujua...
  11. FORTUNE JR

    Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

    Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
  13. musicarlito

    Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

    Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea hayo japo yapo kwa kujitakia Lakini kawaida watu husema huwa sheria...tuna desturi ya kuchangia mambo...
  14. Determinantor

    Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

    Kuna watu walianzisha kampeni ya kumchangia Sabaya ili kumuwekea Wakili "mkali" kabisa na kwamba walitaka kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kwenda kumtembelea. Mmeishia wapi? Mlikusanya kiasi gani? Maana kama Wakili mliyempata ndio kashauri Sabaya aseme Yale aliyoyasema basi...
  15. kimsboy

    Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

    Wakuu, Siasa ni ustahimilivu na kuvumiliana lakini kutumia maneno makali inategemeana na aina ya mtu. Niwatolee mfano tu mtu kama mwendazake Mdude angemjibu hivi ingekuwa sawa kabisa maana bwana yule naye alikuwa na maneno ya kashfa na kejeli na lugha chafu haswa. Lakini kwa mama sidhani kama...
Back
Top Bottom