Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.
Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege,
Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
Wakuu,
Mambo yanabadilika sana
Huyu hapa Profesa Lipumba akiwa anamsifia na kumwimbia Rais Samia kwenye ziara ambayo Samia aliyoifanya mwaka 2022 mkoani Tabora
Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini.
Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo.
Oktoba 29 haisahauliki. Anaesema tusiongelee akapimwe akili.
Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
Salaam Wakuu,
Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko.
Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya kuzaliwa.. Ikawe ya Baraka.
Mungu azidi kukupa nguvu ya kuwatumikia watanzania wote kama kawaida yako...
Wakuu,
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kuna nyimbo ambazo zikipigwa, moyo lazima usimame na kutafakari. Moja ya nyimbo hizo ni ule wimbo maarufu wa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 uitwao "Ni Nani".
Swali kuu la wimbo huu linabaki kuwa alama ya vizazi: "Ni nani anayeweza kusema amemaliza...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
===
Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake.
Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa.
Wananchi wanaposimama, si...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
"Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.