Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu.
Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu.
Kataa wahuni !
Habari,
Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka
Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
Katika kipindi cha awamu ya tano na ya sita kuliibuka viongozi na machawa ambao kila maendeleo yaliyofanyika walikuwa wakisema kuwa kafanya Rais pasipo kumgusa mwananchi ambaye kodi yake ndio imetumika.
Yaani kila mradi utasikia mtu anasema Mh Rais ametoa bilioni kazaa kwa ajili ya mradi huu...
Habari wakuu,
Hili suala la kulipa kodi za nyumba mnalionaje maana nyumba zimekuwa ghali sana kiasi kwamba ukipiga hesabu hapo unakuta unaweza kujenga nyumba yako kali sana ukaishi zako bila stress.
Nilikuwa nafikiria hapa kupata kiwanja kigamboni nijenge nyumba ya kisasa mwenyewe badala ya...
TRA imekuwa shirika butu
Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha.
Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia...
Ikiwa unafatilia uchambuzi hasa kutoka tbc utaona tangazo zuri sana kutoka mamlaka ya mapato likielezea faida mbali mbali zilizopatikana na zitakazopatikana kwa kulipa kodi
Kwa kweli limenihamasisha kulipa kodi ili kuchangia maendeleo
Oktoba tututututu(in lusekelo voice)
Rostam ni muhindi kama walivyo wengine
Ni miongoni mwa magenge ya wahuni walioingia kwenye siasa
Ni miongoni mwa wanasiasa wapiga dili
Najiuliza serikali ya ccm iliyoshindwa kuendesha mradi wa MWENDO Kasi wangeweza kuendesha Mgodi, ni mradi Gani uliwai simamiwa na serikali ujafanikiwa...
Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake.
Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha.
Haiingiit akilini eti...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wafanyabiashara wa kati maarufu kama mawinga kuhakikisha wanazingatia sheria za kodi na kujitokeza kulipa kodi kwa wakati.
Akizungumza Agosti 9, 2025 jijini Dar es Salaam, Kamishna Mwenda ametoa wito huo wakati wa...
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote.
Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
Mfano Mimi nina biashara yangu ambayo inalipa kodi TRA. Ila pia ninamiliki Account za mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara yangu hiyohiyo ambayo inalipa kodi TRA.
Je, mkisema wafanyabiashara wa mitandaoni mmelenga nani hasa? Tujaribu kuwa wabunifu wa kuangalia njia sahihi za...
Raisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake...
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa.
Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?
Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara wengi wa Dar hasa Sinza wanakodi fremu za bei ghali sana lakini bidhaa wanazouza hazilingani na kodi...
habari wadau.
Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.
wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
Wakuu,
Leo akiwa anazungumza, Rais Samia amesema kuwa kuna wale wafanyabiashara ambao wakitakiwa kutoa kodi wanasema kuna maelekezo kutoka juu.
Rais Samia amesema kuwa kwa Tanzania, uongozi wa juu kwenye serikali ya Tanzania ni nafasi ya Rais na kwa kuwa yeye ndio Rais amesema wazi kuwa...
Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi.
Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka.
Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.