kukuza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

    Kama kichwa kinavyojieleza. AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto. Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology. Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine. Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kukuza Biashara Tanzania-Marekani

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania, Algeria kukuza ushirikiano katika sekta ya viwanda vya dawa

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
  8. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  9. JamiiForums Tanzania DC Godfrey Mnzava azindua msimu wa Saba Kahawa Festival na kusisitiza unywaji wa kahawa kukuza soko la ndani

    Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani . Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
  10. JamiiForums Tanzania Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

    Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji Namna ya kupata utajiri kwenye biashara Namna ya kupata wateja Namna ya kulinda biashara kikawaida...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Asante Samia kwa kukuza Chadema na kufanya kiwe chama cha Watanzania wote

    Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukuza nywele kama za Tundu Lisu?

    Asalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu
  14. JamiiForums Tanzania Je tunaanzisha sera ili kureact/solve tatizo au kukuza nguvu ya itikadi(kutawala)

    Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza. Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu...
  15. JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunampost kwenye mitandao ipi, kama kweli sisi ndio tumemleta Rio na Mkewe ili kukuza utalii na kujisafisha na damu za October 29 2025?

    Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: walimu tumieni kishikwambi kukuza ndoto za wanafunzi

    Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa na walimu wameshikilia hizo vishikwambi mikononi wengi wakizitumia kwa kuangalia movie na...
  18. JamiiForums Tanzania Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu. Hii itaimarisha muungano wetu.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili

    Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano Akifungua kikao cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…