kukubalika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukubwa na kukubalika kwa CHADEMA leo hii

    Ni matokeo ya uzalendo usio na shaka, ustahimilivu, uvumilivu, kujitolea bila kujibakiza, mipango na mikakati imara kisera, msimamo thabiti usiyoyumba, kutokukata tamaa kusiko koma, kukosea na kujisahihisha, umahiri na uthubutu usiotetereka wa Statesman FREEMAN AIKAELI MBOWE, mwamba wa siasa za...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

    Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi mkubwa wa Kifikra na Kiuwasilishaji kila wawapo hapa JamiiForums....... 1. adriz 2. Bila bila 3. Daudi...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Rais Samia kuwabeba kwa mbeleko CHADEMA. ACT Wazalendo yazidi kukubalika kwa wananchi. CHADEMA yaonekana ni CCM B

    Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania. Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haka 'Kakirusi' naona kameshaanza kukubalika ndani ya Watanzania wengi

    1. Ili upate Ajira Serikalini Kipaumbele uwe mwana CCM. 2. Ili upate Uteuzi wa Kiutendaji (katika Mashirika) lazima uwe mwana CCM. 3. Mkiwa Vyuo Vikuu pakitokea tatizo kuhusu Pesa za Bodi ya Mikopo mkisema tu nyie pia ni wana CCM mnashughulikiwa haraka. 4. Ili upate Ajira TISS (narudia tena...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mafuriko na Utitiri huu wa watu kwenye Chaguzi ndani ya CCM ni ishara ya Ushindi wa Tsunami 2024|25 na kukubalika zaidi kwa Rais Samia Suluhu

    UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025. Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia, Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea ==== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumaa Aweso anaonekana kukubalika zaidi?

    Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake? Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji. Huku...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

    Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

    Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM. Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania. Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi. Saivi nendeni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Atajitahidi lakini watega mitego na wacheza Amapiano 2025 wamedhamiria

    Kwema wakuu! Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani. Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli halimuoni kama atakubalika na wacheza Amapiano. Sapoti ni Kama itaanza kuyeyuka Sirius kuanzia...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

    Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

    Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe. Kilimo biashara ndio mwendo sasa..... ================================= Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
  15. Kinuju

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe: Uchaguzi Mkuu wa 2020 CHADEMA hatukuwa na wagombea sahihi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi...
Back
Top Bottom