kukubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  2. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

    Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura. Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

    Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku, Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri, Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  7. JamiiForums Tanzania Kukubali kuliwa na Panya ndio ujinga

    "Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
  8. JamiiForums Tanzania Khamenei: Trump anajaribu kutupiga mkwara, Iran haijawahi kuogopa mikwara na haijawahi kukubali kishindwa

    Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah. Leo kapewa majibu yake na mzee. Maneno ya Ayatollah: The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people surrender to him.They should make threats against those who are afraid of being threatened. The Iranian...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Pakistan na India waliishia wapi, kwanini wahindi wamekasirika Modi kukubali amani kwa ceasefire ?

    Nikiingia mitandaoni naona wahindi wengi wanalamlalamikia waziri mkuu kukubali amani yaishe kwa cease fire ambayo ilikuwa pendekezo la Trump.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

    Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo Ni mbinu gani ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Kukataa neno "Awamu ya Sita" kwa kukosa ilani ya chama na Kukubali "Awamu ya Tano" iliyokuwa na Ilana ya chama

    Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika kipindi cha awamu ya sita, lakini ukweli wa mambo unaonyesha kuwa uongozi wake unategemea zaidi Ilani...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmeshindwa na hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa...simple!!

    Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  18. JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  19. JamiiForums Tanzania Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

    Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna wakati dawa pekee ya maumivu ni kukubali ukweli kuwa unaumia

    Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita. Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi zaidi, yatakuumba kuwa kiumbe cha aina gani? Kila mtu ana zamani yake ambayo, kama ingewezekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…