kuku wa mayai

  1. Brayan_Jk

    Bila wewe Fuga App haipo!,tumia dk 1 kutuambia nini unakichukia au kukipenda ndani ya Fuga App ili tuboreshe

    Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji. Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana. Kama kitu kinakusaidia, tuambie. Kama kuna sehemu inakuzngua, tuambie. Kama una wazo la kuboresha Fuga App, tuambie. Una wazo? Una Swali, Kuna sehemu...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  3. Imani rubaba

    Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  4. General Nguli

    Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  5. Imani rubaba

    Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  6. Baba Richard

    Kuku wa mayai

    Habari, nina kuku wa mayai 230. Wana miezi minne na wiki moja. Nimekwama kwenye kuwalisha. Bei ni tsh. 10,000 tu kwa kuku mmoja. Km upo interested nicheck kweny 0787329281 Au km yupo unaemfahamu anayetoa chakula cha kuku wa Layers kwa mkopo tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukran
  7. J

    Dawa gani inafaa hawa kuku wa mayai?

    Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili. Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha...
  8. zoyler22

    Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  9. Madam Ritha Massawe

    Sehemu sahihi ya kuagiza vifaranga ni s&q group of international limited

    AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO 1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100 2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI...
  10. M

    INAUZWA Tunauza cage's za kufugia kuku wa mayai nyama na vifaranga

    Mifugo plus Tunauza vichanja vya kufugia kuku wa mayai,kuku wa nyama pamoja na za kulelea vifaranga. ■BEI ZA CAGE'S/VIZIMBA ■KUKU 96 BEI 650,000/=TSH. ■KUKU 128 BEI 850,000/=TSH. ■VIFARANGA 400 BEI 550,000/=TSH. ■KUKU WA NYAMA 120 BEI 950,000/=TSH. MAWASILIANO 0656446991 0774608608 TUPO...
  11. Brigadier Isaac

    Msaada; Naomba kuelekezwa kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na...
  12. Pisi kali

    Naomba kufahamishwa kuhusu uku wa mayai aina ya layers

    Hello wakulungwa Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers Nataka kufuga kuku 1000 layers Kampuni Interchic. Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk) Changamoto zake nk Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
  13. KUKU_UFUGAJI

    Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Habari wana jamvi, natumai mko salama kabisa. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Vifaranga wanahitaji uangalizi mkubwa sana hasa katika hatua za mwanzo za ukuaji wao, na moja ya njia zinazoweza kuhakikisha usalama wa maisha yao kwanza wao kwa wao (yaani vifaranga) na usalama wa mayai hapo...
  14. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  15. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  16. FATHER JOKA

    Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  17. Rashidi Jololo

    Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  18. Brown Mduma

    Msaada Kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai

    Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300 niweza pata hadi trey 18 kwa siku kuku wa kishaanza kutaga sasa kwa upande wangu nimeona ni fursa...
  19. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  20. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Back
Top Bottom