Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika.
Zijenge miundombinu.
Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi.
Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao.
Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa...