Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva professional kwa kuendesha familia na watu BINAFSI, gharama ni Makubaliano
Kwa mawasiliano nipigie...