Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za...
Thomas Allen McCartney, mhalifu wa kingono huko Louisiana, Marekani, amekubali kupitia upasuaji wa castration (kukata korodani) kama sehemu ya makubaliano ya kukiri kosa.
Haya yamejiri baada ya kukutwa na hatia ya kujaribu kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba. Kando na upasuaji...
Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT.
Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana maana yake ndiyo hii. Mpina hakipendi chama cha ACT, bali amelazimika tu kama walivyolazimika akina Mrema...
Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na...
Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake pamoja na majina ya watu wengine
Musiba amesema yeye amechukua fomu kwa mara ya nne mwaka huu na...
Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate?
Mwahumuaze wandee wose na va mame?
Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima.
✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane
Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja.
Tutaona mengi huu mwaka
Ndio kwanza...
Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja
Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote.
Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu
Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato.
Source: Phone caller
Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
CCM Nzasa Watishia Kukatwa Mgombea Wao Hawatashiriki Uchaguzi
Chama cha Mapinduzi (CCM) Nzasa wametoa salamu kali, wakisema kuwa iwapo mgombea wao atakatwa na kwa sababu zozote, hawatashiriki uchaguzi wa Oktoba 2025. Kauli hii inakuja wakati nchi ikijiandaa kwa uchaguzi wa urais, ubunge na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu huwa hazitegemei akili ya mtu bali mapenzi ya kiongozi wa wakati huo hasa ukitegemea na sheria zetu za uchaguzi zilivyo mbovu huna cha kufanya.
Tusione watu wanasifia wanajitoa ufahamu kumbe wanajua akili zao walishazikabidhi kwa Rais wao
Mchungaji Msigwq kutoka...
Katika kilele cha maadhimisho ya uzinduzi wa kanisa la mtume mwamposa!
Mbele ya Rais mwakilishi mufti amesema anaunga mkono watu kupotezwa, kutekwa na kukatwa vichwa ili amani iendelee kuwepo!
Apongeza kazi ya MTUME kuwaalika kushiriki katika hafla hiyo ili kutoa neno hilo aliloagizwa na mufti...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
Hukumu ya Yohana mbatizaji iliboreshwa kutoka kufungwa na hatimaye kukatwa kichwa.
Turudi kwenye maandiko;(Mathayo 14:3-)
Yohana mbatizaji alifungwa kwa sababu ya kumkemea Herode(mfalme) kwa kuoa mke wa nduguye Filipo.Ili kunyamazishwa sauti isiendelee sana kusikika alitiwa gerezani.Nadhani...
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)
Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona...
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka...
Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko vita tu mika kama waislamu hawa watafanikiwa kuipenyeza sheria hiyo.
Uingereza wanatakiwa wawe...
https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs
Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.