TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.
Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
Wakuu,
Nimeshangaa sana kukutana na list hii.
Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni.
Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na...
Nilisikia murilo anasema alifuata sheria kwenye lile sakata la kuwakamata watu na kuwapiga na kuwatupa porini kwamba ni la kisheria.
Mlio muhoji mbona hamkumuuliza vizuri ni sheria gani hiyo isiyo staharabika ya kutupa watu porini, mimi sijasoma sheria lakini haipo sheria kama hiyo.
Kama...
Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia.
Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza.
Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita.
Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi.
Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
.CHAUMMA INA UMA.
Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa.
Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo...
Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini.
Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua...
sura ya mtu, muonekano wa nje hua unasaidia sana kudaka suspects mtuhumiwa
Katika mazingira uhalifu ,au tukio limetokea lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja au wa wazi unaoweza kuonesha aliyefanya uhalifu huo,
hua panapitishwa msako sasa kama kundi ni kubwa hua kuna factors hua...
Wadau hamjamboni nyote?
Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Guardian staff and agencies
Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT
Share
US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za usafiri wa bodaboda kufika nyumbani kwa watu kuwakamata na kuwachulia ….INAKERA SANA TANZANIA BILA YA...
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA)
(1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
Wakuu,
Sakata la yule Afisa wa TRA aliyefariki limeendelea kuchukua sura mpya.
===================
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, ametangaza kuwa oparesheni zote za kitengo cha Fast cha kudhibiti wakwepa kodi zitafanywa kwa kushirikiana na Jeshi la...
Kuna mtindo mpya wa polisi napengine idara zingine za usalama kuvizia, kukimbiza raia wenye tuhuma za makosa. hata high profile citiezen ambao wangeweza kupigiwa simu na wange report kituoni bila shida nao wameonekana kukimbizwa kama vibaka.
Na wakati mwinge wakiwa kwenye kundi kubwa na silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.