kukabiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkaguzi wa Polisi Kata ya Kisangura aendelea kuzifikia familia na kutoa elimu ya kukabiliana na uhalifu

    Mkaguzi wa Polisi wa Kata ya Kisangura, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameendelea kuzigusa na kuzifikia familia mbalimbali katika kata yake kwa kushiriki nao upendo kupitia utoaji wa elimu ya kukabiliana na uhalifu pamoja na msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya mahitaji ya shule...
  2. Waziri Shemdoe akutana na Balozi wa Norway kujadili namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
  3. Naomba tupeane mbinu za kukabiliana na kuwateka watekaji

    Hali ilivyo sasa, utekaji ni sera ya serikali. Kama siyo, basi serikali imeshindwa na watekaji. Kama siyo, basi kuna namna inavyofaidika nao. Kama siyo, basi tunaowaita watekaji si watekaji bali watendaji wa yeyote au wowote wanaonufaika na utekaji. Kama watu wenye akili na busara, naomba...
  4. Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  5. PostGE2025 Sheikh: Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana nao

    Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea! =================== Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana na watu hao kwa sababu tunahitaji amani yanchi. Hapa Tanzania tunahitaji...
  6. China yasaidia Afrika kukabiliana na tishio la UKIMWI

    Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto. Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
  7. N

    PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  8. Msigwa: Tumejipanga kiusalama Desemba 9

    Serikali imesema imejipanga kuhakikisha wananchi wanakuwa salama Desemba 09, 2025.
  9. Kongamano la Xiangshan latoa ufunguo kwa juhudi za kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
  10. Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  11. Dkt. Tulia Ackson aitaka Dunia kukabiliana na vikwazo vinavyowakwamisha Wanawake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
  12. T

    Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  13. Kukabiliana na ajali za barabarani mifumo lazima isomane

    Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo. Wadau wakubwa wa ajali hizi ni madereva, wenye magari, traffic Police, watengeneza barabara, wasimamizi wa usafiri, shule za udereva...
  14. M

    CCM inajiandaa kukabiliana na mbwa waliyemfuga kwa kumnyima uhuru kwa kumweka bandani kiasi cha hata kwenda haja, wamemkadiria masaa

    Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa meno mpaka boss wake Ndicho sisiem walichowafanya Watanzania, waliwafungia bandani miaka mingi huku...
  15. MCT: Wadau wa kukabiliana na taarifa potishi kama wanavyofanya JamiiAfrica wanahitajika

    Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
  16. Suluhu ya Kukabiliana na Kilimo cha Mirungi yapatikana Wilayani Same

    DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya. PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma. Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
  17. DOKEZO Hivi Mamlaka za Mwanza zimeshindwa kukabiliana na magugumaji Ziwa Victoria?

    Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi. Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha...
  18. Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  19. Wataalamu wote tukutane hapa kujadili na kushare source code za MQ4 na MQ5 ili kukabiliana na mtindo wa masoko

    Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko. Hizi ni moja software...
  20. Iron-dome yaboreshwa kukabiliana na vitisho toka nje

    Iron-Dome ni mifumo ambao Israel inajivunia sana na umeonyesha kufanya kazi vizuri toka Oct 07,2023 Pamoja na kazi nzuri hiyo Israel imefanikiwa kufanya maboresho zaidi ili uweze kufanya kazi kwa ubiorą zaidi kuliko mwanzo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…