kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  2. JamiiForums Jinsi ya kujua kama mawasiliano yako yanaenda kwa mtu mwingine

    Hakuna anayependa mawasiliano yake yaingiliwe au kutumiwa mtu mwingine bila ridhaa. piga *#61# kisha ok , kwa mtandao wako wasimu kuhakikiki. ukiona call au text fowarding iondoe kwa kupiga ##002# ok
  3. JamiiForums Unawezaje Kujua Gari yako Inaingiza lita ngapi Ikiwa Full Tank?

    Wakuu heshima kwenu. Well, kama mada inavyojieleza wakuu kama una gari may be umenunua show room au mkononi kwa mtu utajuaje kuwa Inaingiza lita ngapi pale utapokuwa umejaza full tank? Nawasilisha.
  4. JamiiForums Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  5. S

    JamiiForums Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  6. JamiiForums Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

    Habarini wakuu, Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi. Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…