kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Natafuta kazi ya kujishikiza na kujitolea

    Habari wana JF I hope mpoa. Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza hata kujitolea ili mradi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo vyeti...
  2. S

    Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

    Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
  3. M

    Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo! Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza...
  4. Q

    CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  5. Je, Mkuu wa Mkoa Katavi apiga marufuku Walimu wa kujitolea?

    Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha katika mkoa wake na kudai Serikali inaajiri walimu kila siku. Msikilize kwenye video hapa chini...
  6. Lissu ambana Mbowe: Aelezea Historia yake, adai hajawahi omba kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, "Nimekijenga chama kwa jasho na nguvu zangu"

    Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza kutokana na historia na commitment yangu ya chama. Nilianza harakati za kuijenga Chadema baada ya kuona...
  7. Nahitaji walimu wa kujitolea: Nataka kufungua NGO inayohusika na maswala ya elimu tufanye kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea nipo njiani kufungua NGO yangu ambayo itakuwa ina deal na maswala ya ELIMU YA TANZANIA Kazi tutakazokuwa tunafanya ni kama ifuatavyo: 1. Kufundisha mashuleni kwa mfumo wa club 2. Kuandaa matamasha mbali mbali ya kielimu mashuleni 3. Kutoa mafunzo kwa...
  8. Kujitolea kufanya kazi za watu ni kujishusha thamani

    Kwanini usijitolee kufanya kazi zako. Kwanini usijitolee kutafuta hata madini wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kutoa elimu kwa wengine wewe mwenyewe. Kwanini usijitolee hata kufundisha wengine wewe mwenyewe. Mimi baada ya kumaliza chuo nilijitolea mwenyewe kufundisha vijana table...
  9. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu ndani ya Mwanza

    Habari wakuu, Naitwa Juma naishi Mwanza umri ni miaka 21, nina taaluma ya ukemia upande wa madini {mineral processing engineer} na elimu yangu ni basic certificate in mineral processing na uwezo wa kukabiliana na udongo wenye changamoto nyingi, pia uwezo wa kusimamia usalama kazini (OSHA...
  10. Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

    Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula Kimakazi nipo dar njoo inbox
  11. Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

    Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.) Sifa kubwa 1. Awe ni jinsi ya KE. 2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu. NB: Shule ipo Ifakara Morogoro Mawasiliano. 0621538913. KARIBU SANA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…