kujifunza

  1. Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  2. USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

    Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and...
  3. D

    Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  4. S

    Wazazi wenye watoto wa kike, tuna cha kujifunza kwenye matukio ya binti wa SAUT-Mwanza na binti wa Buza?

    Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno. 2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
  5. U

    Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  6. Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  7. Karibu Kujifunza Kuhusu PMP® Prep Training! - ULIZA SWALI LOLOTE!!

    Habari wanajamii, Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class. PMP® ni nini? PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
  8. D

    Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  9. B

    Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

    Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani. Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa...
  10. Baada ya Korea, wasanii wapelekwe Uturuki kujifunza zaidi

    Baada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
  11. Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  12. A

    Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

    Habari zenu Wakuu, Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer. Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
  13. A

    Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

    1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar) 2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu. 3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
  14. Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  15. Kuna Somo Kubwa sana la Kujifunza hapa hasa kwa Washamba na Malimbukeni wa Mafanikio ya Ukubwani na ya Dharula ya Kiuchumi

    Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua...
  16. Amos Makalla: Tumesikia yanayotokea Kenya, CCM tuna la kujifunza

    Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
  17. Kutembelea Shamba la Kuku (wa mayai na nyama - hasa mayai) kwa ajili ya kujifunza

    Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata namna ya kuutumia. Mimi ni mtu ambaye nataka kuwekeza katika mradi wa kuku wa mayai/nyama, ningeomba...
  18. Naomba mnifundishe kuendesha gari na pikipiki kupitia uzi huu.

    Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
  19. Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  20. Kubali kujifunza, kingereza ni lugha ya kikabila tu

    MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?". Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?". Huwa tunasema, "who knows?". Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who knows?". NI MAKOSA KUSEMA: 1. Who is know? 2. Who is Knowing? MIFANO YA SENTENSI: 1. Who knows to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…