Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi.
Kusoma zaidi hoja hiyo...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa Maeneo yote ambayo yana Nyumba zilizo Chakavu kwa lengo la kuwapatia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar
Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga hotel ya nyota tano Dodoma.
Ni ujinga mwingine.
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya.
Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme.
=================
Baraza la Mawaziri Jumanne, Desemba 17, limeidhinisha ujenzi wa mfumo wa Clean Bus...
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo
Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut
Mfano TRC wanataka kununua engine za...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi.
Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini.
Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine.
Ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu
Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
SMZ IMEDHAMIRIA KUJENGA MAKAAZI BORA KWA WANANCHI-RAIS MWINYI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha miradi ya maendeleo.
Rais Dk. Mwinyi amefahamisha kuwa...
Mfanyabiashara maarufu nchini Ghalib Said Mohamed ( GSM) akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa ametoa tsh million 60 kujengea dispensary ya Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma ambako ni makao makuu ya Nchi
Source: Ayo TV
Mungu wa Mbinguni mbariki GSM 🌹