kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CDC wakutana kujadili kesi za kuvimba moyo za waliopata chanjo ya Moderna na Pfizer

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimepanga kikao cha dharura Juni 18, 2021 ili kujadili waliopata chanjo ya ~COVID19 ya Pfizer na Moderna ambao wamevimba moyo Watu 226 wameripotiwa kuwa na tatizo la myocarditis a pericarditis baada ya kupata chanjo. Wengi wameripotiwa kupona lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

    Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji. Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…