kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wadada wakijiachia wanaangukia kwa wakware, wakibana sana wanaishia kuitwa mashangazi. Sasa wafanyeje?

    Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda. Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake wengi sana kwenye dimbwi la usingo maza. Katika umri mdogo (early 20s) wanaume wanaowahadaa kuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Aliye Rebrand TigoPesa kuitwa Mixx by Yas afukuzwe kazi

    Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious. Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro. Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.🤣👇
  4. JamiiForums Tanzania Lissu: Siogopi kuitwa msaliti

    Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni. Leo amesema hayo mbele ya Mbowe. Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kibabage ni jina lake, atafutiwe a.k.a huwezi kuitwa Kibabage ukawa star

    Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita. Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani. Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
  6. G

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Walimu Foeni mabegi yenu kwani Mda wowote mtaitwa (ku) zini. 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
  7. JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa Bahari ya Hindi, hii kitu iliitwaje?

    Huwa nashangaa na kusikitika bahari yetu kuitwa ya hindi. Je kabla ya hapo ilikuwa inaitwaje wanangu? Je hatuwezi kuiita bahari ya Afrika au Tanzania?
  9. JamiiForums Tanzania Binti afanyiwa uonevu na anyimwa haki ya kuitwa kwenye usaili

    Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi. Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
  10. JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20

    Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Pia, Soma: Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari. Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
  12. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  13. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

    Eh, Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi, "Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 " Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika Wewe...
  14. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  16. JamiiForums Tanzania Huenda waafrika wengi hawakufikia hatua ya kuitwa homo sapiens

    Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe "Tunajua jinsi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

    Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama. Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni dhahiri Elon Must ameprove failure, mtandao wa X bado kutamTwitter ?

    May all souls find enlightment. Wakuu katika wakali wa ubunifu na magineous wa nyakati hizi jina moja haliwezi kukosekana ni Elon Musk. Huyu somo amekua na mchango mkubwa sana katika kuboresha maisha ya kizazi chetu kwa uchache tu tunaweza kuzungumzia mchango wake katika sekta technology...
  20. JamiiForums Tanzania MAJINA YA KUITWA KWENYE SHULE YA MAFUNZO YA UPOLISI MOSHI YAMETOKA.

    Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…