Habari wakuu,
As usual, Nzi Chuma sidhuriwi na uvundo. Siku nyingi sana, nimewamis!. Naomba niwape kisa cha kweli cha kufungua huu mwaka 2021, maana tangu uanze sijaanzisha thread.
Miaka kadhaa nyuma nilibahatika kuoa mke ambaye nilihisi kumpenda. Mimi ni muumini wa imani sawa na ya JokaJeusi...