kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kuishi kwa kudra za washikaji, haya maisha yasikie tu

    Miaka ya zamani kdg ndo nimemaliza chuo nikapata kazi kwenye NGO moja hv. Huko nikawa naponda sana mali, yaani ilikua ni gambe na mademu tu. Mara paaa NGO ikamaliza issue zake wakafunga virago, nikabaki sina kazi na hapo nilikua nimempa mimba binti mmoja hivi na ndo ilikua mimba ya mtoto wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

    Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau. 3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
  3. JamiiForums Tanzania Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

    Ndugu zangu.. Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia. Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Wamasai walifikaje na kuishi Ngorongoro?

    Nimetembelea bonde la Ngorongoro mara kadhaa na kuona wanyama pori wengi ndani ya kama shimo hivi, inavutia sana na kushangaza. Lakini nimeona pia na makundi ya ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo humohumo wanachumgwa na wamasai. Naomba mtu anaefahamu atusaidie kujibu maswali haya kwaajili ya...
  5. JamiiForums Tanzania Sehemu hatari kuishi ni uswahilini na kijijini.

    Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni -fixed mindset and conservative. Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

    Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa. Kukosa ajira ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hapo mwanzo mwanaume alichagua mwanamke wa kuishi nae,hivi sasa mwanamke ndio huchagua mwanaume wa kuishi nae.. Unadhani nini kimebadilika?.....

    Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora. Sasa hv mwanamke hata umtoe...
  9. JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuishi maisha ya kigeto geto bila kupika?

    Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊 Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI. DALILI ZA MNAFIKI 1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako 2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya...
  11. JamiiForums Tanzania Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaoishi na chawa mmegundua siri gani?

    Kule kwetu watu wenye chawa walikuwa wakijisikia aibu, lakini nasikia huko kwenu ni ufahari kuwa na chawa wengi! Kule kwetu tulikuwa tukuzichemshia maji nguo zenye chawa, lakini nasikia huko kwenu mnazilisha na kuzihudumia vizuri! Kule kwetu tulikuwa tukikosa usingizi chawa wakivamia vitanda...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa mmeshindwa kuishi pamoja si muachane kiungwanana tu

    kuelezea utu na haiba ya za ndani za mwenzi wako kwa matusi ya fedheha mbele za watu au kwa marafiki zako, na kufichua siri na madhaifu ya utu na heshima ya mwenzi wako khadharani sio ungwana na sio ustaarabu.... ulipokua nae uliweza kuvumilia, na kustahimiliana mengi sana miongoni mwenu. leo...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania msisahau kuishi

    Ndugu zangu watanzania, hivi ni nani huyo aliewadanganya kwamba kuwa na mawazo ndio ukubwa?. Au kuwaza mambo magumu magumu ndio utu uzima?. Fanyeni mambo yote lakini msisahau kuishi. Kuishi ni nini? Kuishi ni kustarehe. Kuishi ni kufurahi. Furahia maisha yako kwa kadri uwezavyo. Itafute...
  15. JamiiForums Tanzania Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

    Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu. Halafu mbona kama watu...
  16. JamiiForums Tanzania Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Vibaka wameanza kuwavamia hadi wanafunzi wadogo na kuwapora vitu vyao. Mdogo wangu ni miongoni mwa walioporwa

    Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule. Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana unayepambana kimaisha using'ang'anie kuishi uswahilini

    Kijana unaepambana kimaisha ukipata auheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji la Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana yao ni Bora sana kuliko Leo. Mwanyamala kwa kopa, Manzese, Tandika, Mbagala sehemu sehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…