kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi zimezidi kuhusu Namba 1 na 2 kutokupatana, ukweli upoje?

    Huko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi. ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  5. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

    Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majibu RC Chalamira kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29

    Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumuelewe Mhe.Rais kuhusu maridhiano

    Mwenyezi Mungu aendelee kusimama na kila mmoja na kusimama na Taifa letu. Ni imani yangu bado kila mmoja anakusudi la kweli katika kudumisha amani, kukuza umoja wa kitaifa na kusimamia misingi ya haki. Katika mengi ,nami nawiwa kutoa mchango wangu wa machache .Kama mtanzania natambua mchango...
  9. JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  10. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

    Haya ndio madhara ya kuhalalisha mambo ambayo sio halali.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Boniface Mwabukusi ahoji kuhusu kijana aliyehongwa bilioni tano na Mabeberu

    NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria? 2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano: Kwanza Balozi (CP) Suzan Kaganda awe IGP ndo tukae mezani

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mheshimiwa Kamishina wa Polisi (CP) Suzan S. Kaganda, awe IGP ili tufanye maridhiano IGP Camillus Mongoso Wambura anatuhumiwa kutoa amri kwa Polisi ya kuua Raia. Ananuka damu za Watanzania. Kwanza hana Elimu ndo maana hajiamini. Hatuwezi fanya reconciliation...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

    Kila mtu anashangaaa. Wachambuzi wa Afrika wanashangaa. Wachambuzi wa Dunia wanashangaa. Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GUTA

    Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA. Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu uigizaji

    Wakuu habari zenu Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya: a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa bajeti ndogo isiyozidi M.4 (Kwa anayejua tafadhali anijuze) b. Natamani kutumia stori au hadithi...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana mzelendo anaelezea kuhusu CCM mtandao

    Je hili kundi ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa?
  19. JamiiForums Tanzania Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…