kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nategemea kugombea Urais 2040

    Assalam ALLAYKUM ndugu ZANGU waislamu, Tumsifu yesu kristo ndugu zangu wa kristo, Niaje makamanda ndugu zangu wapagani. Sihitaji ushauri Nisha Fanya maamuzi, nguvu isio onekana imenambia kijana Fanya jambo, nami nimeona nitii amri huenda ni malaika wa mungu, Nilipata elimu yangu geita, Mwanza...
  2. R

    Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  3. W

    GE2025 Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake

    Kada wa ACT Wazalendo Selemani Bungala (Bwege) anaeleza kuwa Mpina alipojiunga ACT yalitokea makundi mawili kwa kuwa Dorothy ndiye aliyepaswa kuwa mgombea kuna watu wakasema Dorthy atolewa na kuna watu walisema abaki lakini mwisho wa siku wakamtoa. "Walimtoa, yeye si alikuwa anakataa...
  4. GE2025 ZEC yamuengua Hamad Masoud Hamad kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF

    Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu...
  5. L

    Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  6. Tundu Lissu hatokuja kuwa na sifa wala vigezo vya kikatiba kuwa mgombea urais wa Tanazania tena

    Na hiyo itakua ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwamba Tundu Lissu atakua hana tena haki na atakua amepoteza kabi fursa, sifa na vigezo vya kisheria kugombea nafasi hiyo nyeti kitafa.🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
  7. GE2025 Polepole: Mwinyi alipigiwa Kura za Hasira, kumjibu Mwanamtandao alomtuma Binti awapigie Wajumbe Kumchagua Waziri Rashidi kugombea Urais Zanzibar

    Wakuu mambo ni MAZITO sana sana. Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais. Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli kugundua kua Walitaka Shamsa Vuai Nahodha awe Rais, na Wajumbe wote kukana kuwa hawana Mgombea. Jioni...
  8. GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo anapinga Mpina Kugombea Urais, ahoji 'Kwanini anavaa T-shirt yenye picha ya Magufuli?

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
  9. GE2025 Sakata la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo latua mezani kwa msajili, watakiwa kutoa maelezo

    Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025. Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es...
  10. GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  11. GE2025 Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais

    Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
  12. E

    GE2025 Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo

    Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
  13. GE2025 Aliyekosa nafasi ya kugombea Urais kupitia CUF sasa kugombea Ubunge

    Wakati dirisha la uchukuaji fomu za uteuzi kwa ajili ya kugombea nafasi za Ubunge likiwa tayari limefunguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, wagombea wawili wa Chama cha Wananchi CUF, Bw. Nkunyuntila Siwale (Jimbo la Mbozi), ambaye awali aliomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, kupitia...
  14. GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  15. H

    Wasio na akili ni waliompitisha Mpina kugombea urais kwa niaba ya CCM na siyo yeye

    Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana. Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi...
  16. GE2025 Kamati Kuu ya CHAUMMA wampendekeza Salum Mwalim kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho

    Sijajua jambo la Mwamba limekwama wapi ila hapo viunga vya Biafra aliyependekezwa na chama cha Hasheem Rungwe kuwania Urais wa Tanzania ni Salum Mwalim ambaye ni katibu mkuu wa CHAUMMA. Anatatajiwa kupitishwa kesho na mkutano wao mkuu.
  17. L

    GE2025 Dorothy Semu ajiondoa kugombea Urais ACT Wazalendo. Je, anampisha Luhaga Mpina?

    Ndugu zangu Watanzania, Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO. Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina? Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  18. Mpina kakosea sana kugombea Urais

    GTs, Mpina hana uwezo wa kujenga hoja. Hivyo kushinda urais ni ngumu mno. Alipaswa abaki kwenye ubunge tu. Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
  19. GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema. Katika kikao...
  20. F

    GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…