kugeuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  2. N

    Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  3. M

    Korodani kuuma na kugeuka limevimba,Mzee wa miaka 65

    Habari wakuu Mzee wangu umri miaka65,alianza kuuma sana korodani zote na nyonga na mapaja,korodani moja limejaa limevimba ukubwa wa ngumi Sasa baada yakumfikisha hospital imeonekana vipimo korodani limegeuka na pia ana infection,Sasa wamesema dawa wanampa kwa siku mbili hizi kuangalia kama...
  4. The Father of All

    Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  5. Pascal Mayalla

    Je Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?.

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
  6. mdukuzi

    Matawi ya Simba na Yanga kugeuka vikundi vya kufa na kuzikana, imekaa vizuri

    Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi. Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku. Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
  7. Ncha Kali

    Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
  8. Miss Zomboko

    Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  9. USSR

    Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  10. W

    Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
  11. M

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  12. Google Diggers

    Ushirikina: Watu kugeuka kuwa na miguu ya ng'ombe

    Wakuu igweee... Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kufanya mapenzi na wake au waume wa watu. Kuna ukweli. Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo...
  13. britanicca

    Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

    Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa Ni ama kuna Uhuni...
  14. Mkaruka

    Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
  15. fundi bishoo

    Ukiwa mjamzito mtoto anageuka akiwa na miezi mingapi?

    Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa. Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........? Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa...
Back
Top Bottom