kufutwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022. Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

    Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
  3. JamiiForums Tanzania Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu ni kwa kipindi gani data zako zinaweza kutunzwa kabla ya kufutwa na mtoa huduma? Kesi ya Mbowe imetutoa usingizini

    Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
  6. JamiiForums Tanzania CCM ni chama kinachotakiwa kufutwa mapema kwa ustawi wa Taifa

    Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana . Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama. Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli. :pPendekezo msajiri ebu futa hiki chama Mara moja . tunaitaji Tz imara isiyokuwa na vyama vyenye kulea watu waovu.
  7. JamiiForums Tanzania Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

    Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City . leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kama Mwenyekiti wa Chama atajihusisha na Ugaidi na chama hakifutwi, kosa gani linaweza kusababisha chama kufutwa?

    Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita uwezo wa kustiliwa hadi kupelekea kufutwa kwa Chama, Kama M/kiti wa chama husika, anajihusisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kufutwa kwa VRF kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, waajiriwa tegemeeni kuongezeka kwa take home

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kulikuwa na maswali kadhaa kwamba je Salary itaongezeka baada ya kufutwa kwa tozo ya VRF ya 6% kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu ya Juu au hapana. Jibu ni kwamba take home itaongezeka maana makato ya 15% kwenye mshahara wa mwajiliwa nayo yana mchanganuo wake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…