kufungua duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  2. M

    Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  3. A

    Naomba kujua nikiwa na mtaji wa tsh milion 1 siwezi kufungua duka la kuuza vifaa vya bomba naombeni ushauri

    Naomba kujua nikiwa na mtaji wa Tsh milion 1 siwezi kufungua duka la kuuza vifaa vya bomba naombeni ushauri
  4. Mad Max

    Wapambanaji: Kama unataka kufungua duka dogo la kuuza accessories & huduma ndogo ndogo zinazohusu magari pitia hapa!

    Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara. Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
  5. kataza

    Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  6. amudamud

    Ipi bora kati ya biashara ya bodaboda na duka la viatu vya kiume?

    Wakubwa naomba kupata ushauri kati ya kununua pikipiki ya kufanyia boda na kufungua duka la viatu vya kiume kwa ukanda wa dar kipi bora zaidi
  7. Candela

    Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
  8. R

    Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  9. MrWings

    Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
Back
Top Bottom