kuficha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Ni maeneo gani huwa yanatumika kuficha kamera za Siri?

    Vifaa vya umeme kama simu, vifaa vya alarm na smoke detectors, pamoja na Chaji ya simu (USB) kwa sababu camera hizo sa siri huwa zinahitaji kuwa na chaji mara kwa mara. Vioo hasa vinavyoruhusu mtu kuona upande wa pili ( Two way Mirror), mapambo kama vile fremu za picha, kitasa, saa za ukutani...
  2. Kipenzi Changu

    Ukijuana na anayekuzidi uwezo, jitahidi kuficha njaa zako

    https://m.youtube.com/shorts/9yn5UKUP3yM Hii inakata stimu sana. Umepotezana miaka kibao na jamaa yako, mnakuja kukutana hivi karibuni. Unashindwa kabisa kuficha njaa zako, sms za simu za virungu kibao. Umetambulishwa kwa mtu anayekuzidi uwezo basi chota maarifa. Najua hatuishiwi shida...
  3. T

    NECTA kuwa na mfumo wa kuficha majina ya watahiniwa katika matokeo, ina faida gani?

    Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee. Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo. Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana. Kujua ufaulu wa mtu hauishii kama mambo binafsi. Ni jambo la usalama wa taifa. Hebu fikiria kwa kipindi ambacho...
  4. Fbn

    Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
  5. technically

    Kuficha au kujificha hakutasaidia

    Mleteni Rais wetu mbele ya camera hata Kama tunamchukia, hatoshi, mwizi wa chaguzi, ametuulia ndugu zetu lakini ki protocol bado anakuwa Rais wetu hata Kama Ni haramu Je Yuko wapi? Anafanya Nini? Kwanini ajifiche? Yu Hali gani? Kwanini awe waziri mkuu na sio makamo wa Rais juzi? Who are...
  6. Genius Man

    PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  7. Genius Man

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  8. U

    Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  9. O

    PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  10. Damaso

    JamiiCheck inapaswa kufanya utafiti kama kuna ukweli ama kuficha ukweli?

    JamiiCheck ilianzishwa kama jukwaa la kijamii linalowezesha wananchi kuwasilisha taarifa zinazowatia mashaka kwa lengo la kupata msaada wa uthibitishaji. Kupitia huduma hii, wataalamu na wachambuzi wa habari huchunguza vyanzo, kulinganisha ushahidi, na kutoa majibu sahihi kwa wananchi. Hatua...
  11. K

    Gypsum board design ya kuficha curtain roads

    Habari wakuu, nimevutiwa na design ya gypsum board ya kuficha curtain roads. Fundi wangu anasema anaweza kutengeneza. Lakini najiuliza vishikio ya curtain roads vitagongwa vipi?...fundi naye hana idea. Msaada mafundi nimuelekeze fundi wangu.
  12. Carlos The Jackal

    Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  13. M

    Kuficha mashahidi ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Jaribio lolote la kutaka kumhukumu mtu bila yeye kuwajua mashahidi dhidi yake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu, halipaswi kuendekezwa hata kidogo. Maana yake ni kwamba, mshtakiwa atasomewa tu kuwa, mahakama imeridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, hivyo adhabu yako ni hiyo. Kama...
  14. Fbn

    Vanvera: Kifaa cha Karne ya 19 Kilichowawezesha Wanawake Kuficha Gesi(ushuzi) kwa Umaridadi

    Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera. Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
  15. Bwege2030

    Nadharia na viapo vya serikali kuficha mambo yao ya siri na kutumia siasa kuficha siri zao

    Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy. Cooper alidai...
  16. R

    Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  17. sanalii

    Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

    Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani. wakristo...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
  19. DR HAYA LAND

    Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Serikali Yatoa Onyo: Hakuna atakayevumiliwa kwa kuficha Mgonjwa wa Mpox, wakiwemo waganga wa kienyeji

    Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
Back
Top Bottom