kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uume uwe imara

    Uume Imara (Afya Ya Uume): Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha. Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa); 1) Lishe Bora...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

  3. JamiiForums Tanzania Mpaka wa Bologonja Kuna jambo linatokota naamini Serikali yetu inajua cha kufanya

    Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitia mpaka huu. Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi...
  4. JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
  5. JamiiForums Tanzania JF tuanzishe mpango wa kuwapa au kuwatafutia kazi za kufanya. Sasa inakuaje mtu yupo online JF masaa yote 24/7. Kazi anafanya saa ngapi?

    Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja chafya ngumu min -me
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
  7. JamiiForums Tanzania Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

    Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili. Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa Now, huwezi kulaumu...
  8. JamiiForums Tanzania Kama taifa tunaendelea kufanya makosa.

    Bado tunaendelea kukumbatia mambo ambayo yalisababisha watu tarehe 29 kuandamana kama ufisadi wa kutisha,uhuni wa kuua na kuteka watu,uchawa,uongozi mbovu,rushwa kila eneo,uchumi mmbovu,dharau za viongozi kwa wananchi.kitu cha uhakika ni kwamba Watanzania wengi sasa hivi wamejawa roho ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya kilimo Igula - Iringa

    Habari Machief zangu nataka kwenda kufanya kilimo mkoa wa Iringa kijiji cha Idodi - Igula so nisaidieni taarifa zozote zinazo husiana
  10. JamiiForums Tanzania IT and communication officer, ni muhimili Mkuu wa Taasisi yoyote hasa katika Wakati huu wa kidigitali

    Habari ya wakati huu, IT and Communication Officer ni Mtu wa muhimu sana kwenye Taasisi yoyote hasa katika ulimwengu wa Sasa wa teknoligia IT and communication Officer anafanya Kazi Kama Usimamizi wa mifumo ya komputa, Usimamizi wa mtandao(networking), Usalama wa Taarifa, IT support, Kuratibu...
  11. JamiiForums Tanzania Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Charles Kichere, Mkaguzi Mkuu CAG: CUF na NRA wamepata hati ya Mashaka, sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA sababu ya kesi zao Mahakamani

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam " Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama cha Civic united front (CUF) kimepata hati ya Mashaka na Nationai reconstruaction Alliance (NRA)...
  13. JamiiForums Tanzania Tungeanza kufanya slums upgrade maeneo ya uswazi Tanzania

    Just my thoughts Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na binadamu kuishi Mfano, kupaka rangi nyumba, kuezua mabati ya kutu na kuweka ya rangi, ku install...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

    Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja ilikuwa vitu ambavyo vilitokea mbele ya watu wengine pia. Mfano wa kwanza ulikuwa mvua. Kuna siku...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

    Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
  18. JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  20. JamiiForums Tanzania Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…