kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Manchester United ni ile ile, bado kuna kazi ya kufanya

    Ikiwa ni mchezo wa pili toka ligi ya England ianze Manchester United imepoteza mchezo wake baada ya kukubali kipigo cha mabao 2 kwa 1 kutoka kwa Brighton & Holves Albion huku mabao ya Brighton yakifungwa na Danny Welbeck na Joao Pedro huku Unitedwakifunga bao la kufutia machozi kupitia kwa Amad...
  3. JamiiForums Tanzania hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  4. JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Afande Theopisha Mallya ndiye aliyewatuma vijana kufanya ubakaji

    Angalia mahojiano kati ya Manara Tv na mwanasiasa na wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mfanyabiashara wa magari ndugu Hashim Spunda Rungwe, kuanzia dakika ya 35:09 anaulizwa kuhusiana na aliyetuma wale vijana wahovyo kufanya ubakaji. Majibu yake ni kuwa aliyewatuma ni aliyekuwa RPC wa Dodoma...
  5. JamiiForums Tanzania Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

    Hata ya Lamomy hushiki?
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  9. U

    JamiiForums Tanzania TP MAZEMBE wanajaribu kufanya uhuni wa kitoto sana dhidi ya Singano.

    Oneni wenyewe
  10. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kushindwa kufanya mapenzi ukiwa na mpenzi wako chumbani, uliamua nini baada ya hapo?

    mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ole Lengai Sabaya kama unanisikiliza, anza kufanya mazoezi, kuna wahuni wamemkanyaga Nyoka mkiani

    Mama alichukua nchi na alikubali kuwaudhi watu ndani ya chama na serikali pale aliporudisha mikutano ya hadhara, akaingiza falsafa zake za 4 R yaani Reconciliation, Rebuilding, Reform na Resilience. Alitaka watu waikosoe serikali lakini kwa staha, kwa mfano mimi nafurahishwa sana na ukosoaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

    Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
  15. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kazima simu kisa mpango tulikuwa nayo mwezi huu

    Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufanya tukio gani la kukumbuka katika mahusiano

    Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia makuzi yetu mpaka tunapokua kwenye umri wa kuoa / kuolewa kwa wengine, ambao sio wa koo za simba...
  19. JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kufanya tathimini ya urejeaji wa hiari wa Wakimbizi ifikpo Januari 2025

    Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya kuwasikiliza Wakimbizi hao na kufanya maamuzi sahihi kuhusu hadhi zao kwa kuzingatia sheria za ndani, kikanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…