kufanya maamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  2. JamiiForums Tanzania Soka la kisasa Mchezaji anathaminishwa kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sio Kipaji

    Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka. Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni. Hivyo basi kama...
  3. JamiiForums Tanzania Je, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lina uwezo wa kufanya maamuzi dhidi ya Russia?

    Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni mmoja wa wanachama wakudumu wa baraza la usalama akiwa pamoja na China, UK, France na USA. Hivyo Ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji hawezi kufanya maamuzi juu ya pingamizi papo kwa hapo?

    Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka? Ili kufanya maamuzi madogo lazima ahirishe shauri kwa siku nzima?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa mzito sana wa kufanya maamuzi

    Kila kitu kinachofanyika, kutendeka au kutendwa, kinapaswa kuwa katika kiwango ambacho hakipungui sana au kuzidi sana(kiwe within reasonable limits). Kwa msingi huo, hata viongozi wetu katika kufanya maamuzi, wanapaswa kuzingatia hilo ili wasiharubu, na pia ili wasionee watu. Mwendazake katika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

    Salamu Wanabodi, Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari na pia anavyoendesha utagundua huyu ni mtu wa namna gani. Mara nyingi mtu aliyemakini barabarani au akiegesha gari, anakuwa pia makini katika mambo mengine kama kufanya maamuzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…