TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI:
Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha ya kambale ambayo kila mmoja ana sharubu zake.
Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa mkali sana...