kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapenzi yapo kwenye ndoa upelekea kufa pamoja.

    Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
  2. CHADEMA hata wakuchukua mali zote, haiwezi kufa. Watakufa wao

    Serikali ya ccm wanapanga kupiga mnada mali za chadema ili mnunuzi kikaragosi chauma azinunue kwa bei ya bure. Mbowe, salimu mwalimu, yule zonal director lake zone etc ndio drivers wa hili. Ni kwamba chadema haiwezi kufa kwa kunyanganywa ofisi au magari, chadema itakufa siku ikiacha kuamini...
  3. U

    Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku 10. Uwe mwaminifu hata kufa

    Wadau hamjamboni nyote? Msiwe na wasiwasi wadau! --.be thou faithful unto death, and I will give thee a crown of life Ufunuo wa Yohana 2:11
  4. M

    G55 na wimbo wa "naapa naahidi mbele ya Mungu, CHADEMA nitakulinda mpaka kufa"

    Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
  5. Moto wa G55 utaiua CHADEMA? Moto wa Peter Msigwa tuliyeambiwa anahamia CCM na CHADEMA ya Iringa yote na CHADEMA kufa kabisa uliishia wapi?

    Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..? Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..? Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA...
  6. Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  7. Anayeshukiwa kuwa Al-Shabaab ajilipua bomu na kufa na watu huko Somalia

    Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua...... Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a military recruitment center in southern Mogadishu, Somali authorities and witnesses said. The assailant...
  8. B

    RC KIHONGOSI ni Sikio la Kufa

    RC Simiyu Kihongosi ni sikio la kufa, wakuu wa mikoa wenzake walikopita CHADEMA kuanzia Kagera, GEITA, MWANZA, MARA wote hawakujihusisha na hujuma zozote dhidi ya Mikutano ya Chadema zaidi kama ni majibizano yalibaki kati ya Wakurugenzi na CHADEMA kuhusu viwanja. Lakini Simiyu imekuwa tofauti...
  9. PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  10. Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mkewe aliyekataa kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  11. B

    Padre Ngowi awaitisha wananchi likiwamo jeshi lao kuilinda nchi

    Haya ni aliyoyasema Padre Ngowi: https://m.youtube.com/watch?v=ciDVwS2EKj0&pp=ygUtUGFkcmUgbmdvd2kgaGF0YSBuaWtpZmEgbGVvIHNpbmEgY2hhIGt1cG90ZXph "Kwamba umoja wetu ndiyo iliyo ngao yetu na tujue kuzisoma alama za nyakati."
  12. Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  13. DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  14. M

    Maisha baada ya kufa

    Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora: Nyumba za dhahabu na fedha, zenye mito inapita chini yake (Qur’an 18:31). Chakula na matunda...
  15. Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  16. S

    Je unaweza kufa juu

    wakati wa tendo la ndoa ,nisaidieni sababu ili ka zinaepukika . Je iliwai kukutokea ?
  17. Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife! 1.anajali hisia zake tu, zako anapuuza hata uwe unaumwa 2.ana asili ya unyonyaji akiamini kwamba yeye ndo...
  18. Adhabu ya Kunyongwa hadi Kufa haitekelezeki

    1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea 2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe kwa ugonjwa au uzee.
  19. U

    Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  20. CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…