kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katika Awamu ya 6, Sekta ya Ujenzi kwa makampuni ya wazawa imehujumiwa sana. Makampuni mengi yanaelekea kufa

    Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP). Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  3. JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  4. JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Kufuga senene kwa ajili ya biashara ni wazo jipya lenye fursa kubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kwa muda mrefu senene wamekuwa wakivunwa tu msimu wao unapowadia (kawaida kuanzia Novemba hadi Desemba na mara chache mwezi Aprili/Masi). Hata hivyo, ufugaji wa senene kibiashara unahitaji udhibiti...
  5. JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  6. JamiiForums Tanzania Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Mie nimemjibu kwamba..... Siwezi kurudia kosa tena....😒 Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
  7. JamiiForums Tanzania Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  9. JamiiForums Tanzania KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Nimemaliza. Lisu hujawahi kwenda kumuona. Au??? mara moja!
  11. JamiiForums Tanzania Watu walipotea au kufa kwa utata chini ya utawala wa CCM toka 2010-2026

    Wote Hawa ni either waliuwawa, walipotezwa au kufanyiwa umafia toka mwaka 2010 1: Mwangosi 2: Deo 3: Akwilina 4: Ben Saanane 5: Lwejabe 6: Mdude 7: Mawazo 8: Pole pole 9:Mhagama 10: Soka 11: Ndungai 12: Lowassa 13: Mahinga 14: Kijazi 15: Mfugale 16: Mfugale 17: Membe 18: Magufuli Hawa wote...
  12. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu asimulia kutekwa, kuteswa na kuachana na siasa: “Nilijua naenda kufa”

    Agosti 4, 2026, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bakari Kazungu, alitekwa na watu wasiojulikana jijini Tanga na baadaye kupatikana akiwa amepigwa na kuteswa vibaya. Kabla ya tukio hilo, Kazungu alikuwa akitumia mitandao ya kijamii kukosoa baadhi ya mwenendo ndani ya chama chake na kueleza...
  14. JamiiForums Tanzania kufa masikini Tanzania ni kujitakia

    Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika. Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu, wavivu, waoga na wabinafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

    Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti. Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho. Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa mtapata faida gani? Utawala wenu utakubalika zaidi?

    Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea akahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa hili la uhaini wa mchongo mtapata faida gani. Kwamba...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna moto kwa watakokuwa na makosa baada ya kufa, hawa wanaochomwa au kufanyiwa cremation, watachomwa nini mbali na wanaozikwa miili kuoza?

    Swali hapo juu lipo wazi Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa: Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa, Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza. Kama hli ndiyo hii, huu moto tunaotishwa nao na dini nyemelezi na za kikoloni za kigeni zilizotugeuza mataahira na mazwazwa, huu...
  18. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa na wenzako. Kuweni makini mnaweza kufa kwa kihoro

    Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
  19. JamiiForums Tanzania Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

    Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya. Anatoa...
  20. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…