Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, amewahakikishia wananchi wa mkoa huo kuwa hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa kikamilifu kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 28, 2025, Malima amesema kuwa hakuna taarifa...
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi.
Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa...
Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa.
Mfano...
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo, amekemea vikali siasa za udini katika kuomba ridhaa kwa wananchi, akisema kuwa siasa za aina hiyo hazina tija katika maendeleo ya jamii.
Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji...
Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.
2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.
3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.
4. CCM mbele kwa mbele.
Kamati Kuu imewateua makada wake
Asha Rose Migiro - Katibu Mkuu
Kenan Kihongosi - Mwenezi Taifa
Uteuzi huo unafanyika mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Sasa naanza kuamini kwamba suala la Uchqguzi Mkuu siyo gumu kwa CCM. Mifumo imeshakamilisha ushindi wa kishindo kwa CCM
Polepole amekuwa...
Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa madawati ya uthibitishaji wa taarifa ili kukabiliana na taarifa potofu kipindi.
Kumbuka katika kipindi cha uchaguzi taarifa...
https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E
Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
Chama cha NCCR-Mageuzi kimezindua ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025–2030 iliyobeba vipaumbele 11, ikiwemo upatikanaji wa katiba mpya.
Pia, chama hicho kimetangaza wagombea wake kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano, Haji Khamis, na mgombea mwenza, Dkt. Eveline Munis, pamoja na mgombea...
Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
Ni nani wajumbe hao?
Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani.
CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga.
Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...