Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke.
Katika kauli yake, alisema kuwa wao kama vijana wa UVCCM wanasimama na Mama — yaani Samia Suluhu Hassan...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeendesha mafunzo kwa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuhusiana na uzingatiwaji wa haki za binadamu na misingi ya Utawala Bora katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na Askari hao leo Septemba 17, 2025, Makamu Mwenyekiti wa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za...
"Kutokana na kuwa na elimu ndogo, wajumbe wanakuwa ni wepesi wa kushawishiwa. Wajumbe ni sehemu ya wananchi na viongozi wana pesa"- Shawn Ayoub, Mwananchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa...
Aliyekuwa rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) mwaka 2020, Dk Elisha Osati (kulia) amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 2,2025.
Fomu hiyo ameikabidhi kwa Katibu wa Wilaya ya Temeke...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Baisa Baisa amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mtwara Mjini.
Baisa, amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Fadhili Ukasha
Soma pia...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za uwakilishi na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo...
Mbunge wa Jimbo la Geita mjini anayemaliza muda wake Costantine Kanyasu leo Jumatatu Juni 30, 2025 amejitokeza katika ofisi za CCM wilaya ya Geita na kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Geita mjini.
Kanyasu amehudumu katika Jimbo la Geita kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2015...
Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho, akiahidi kuufanya mji huo kuwa kitovu cha biashara na ajira kwa vijana
Huwel amesema dhamira yake ni kuhakikisha vijana wa Iringa...
Fadhili Salmon Nafutari, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Itwangi, Wilaya ya Shinyanga akiwa na msukumo wa kulijenga jimbo hilo kupitia rasilimali zake za asili na nguvu kazi ya wananchi,
Fadhili Salmon Nafutari amechukua fomu mapema leo Juni 30, 2025 katika...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi.
Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa.
Katika ziara hiyo...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma.
Akizungumza...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika hafla ya Jukwaa la Fikra iliyofanyika tarehe 22 Juni 2025 katika...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mkoa wa Songwe, hatua inayolenga kuboresha miundombinu, kurahisisha usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Naibu Waziri wa...
Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi.
Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.