Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.
Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri...