kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Kwako John Heche VC - CHADEMA: Badilini mtindo wenu wa uhutubiaji. Hamjengi hoja kwa takwimu ni kwanini chaguzi sasa haziwezekani tena. Kwanini reform

    1. Sina shida na namna unavyoanza kujenga hoja yako kwa kuwaeleza wananchi kwamba wao ndiyo msingi wa mamlaka ya serikali na utawala wa nchi kupitia chaguzi za kidemokrasia ukitumia Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT ya 1977.. 2. Sina tatizo na namna unavyoendelea mbele kwa kuwaambia wananchi kuwa...
  2. PreGE2025 Chama cha CCM hakina mgombea urais mpaka sasa kwani mchakato wa kumpata Samia haukuzingatia katiba ya CCM

    Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa...
  3. PreGE2025 Alex Msama: Rais amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe

    "Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  4. PreGE2025 Mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa akabidhi gari la wagonjwa Nyakahura

    🇹🇿 MHE EZRA CHIWELESA AKABIDHI AMBULANCE KWAAJILI YA KUTOA HUDUMA KATIKA KATA YA NYAKAHURA, AKEMEA MATUMIZI YA LUGHA ZENYE UKALI KWA WANANCHI KUTOKA KWA WAHUDUMU WA AFYA - BIHARAMULO. 📸 Updates za Matukio 16/04/2025 BACK TO BACK NON STOP 📍 Ziara ya Kichama Oparesheni Ushindi Wa Kimbunga Wa...
  5. CCM Haina mpango wa KATIBA MPYA hili liko wazi, Kuichomekea Katiba Mpya kwenye Ilani ni Uhuni tu

    Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??. Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!. Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?. Akina...
  6. PreGE2025 Nani mgombea urais wa CHAUMMA zaidi ya Askofu Gwajima?

    John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA kushinda uchaguzi ni kumuweka mgombea urais mwenye ushawashi anayekubalika. Ni nani huyo mwenye...
  7. PreGE2025 TCRA yaitaka AYO TV kuondoa maudhui ya Gwajima

    Hii ndio Taarifa ya Sasa AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya maelezo aliyoyatoa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima kuhusu matukio ya utekaji Nchini...
  8. Unadhani ni kwanini ghafla tu CHADEMA wanakiogopa sana na kukichukia chama cha ukombozi wa umma (Chaumma)?

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa. Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  9. PreGE2025 Wakili Madeleka: Hatuwezi kupata mabadiliko kwa kususia uchaguzi

    Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la Kivule, Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  10. J

    PreGE2025 Kiukweli Chadema ni Brand fikiria Mbowe, Lisu, Kigaila, Mwalimu na Mrema hawapo lakini Heche anachanja mbuga!

    Najua Lucas na Chiembe hawatapendezwa lakini ukweli lazima usemwe tofaiti na vyama vingine vyote vya upinzani Brand ya chadema inajiuza yenyewe bila kutumia promotion za mawinga Ahsanteni sana Mlale unono 😁
  11. B

    PreGE2025 Spika Tulia na Bunge lako nani kawaagiza kumpa Tuzo Rais Samia? Mmetoa kwa niaba ya nani kama wananchi hatujawahi kuridhia?

    Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona wampe tuzo kutokana na kazi yake iliyotukuka. Mimi mwananchi nauliza ni kenge gani walitoa ruhusa...
  12. Gwajima: Kama waliutenda hivi mti mbichi, utakuwa wewe mti mkavu?

    Kwakuwa ushauri huu umekulenga wewe Baba Askofu, nitazingatia maandiko matakatifu kukushauri. Ukisoma Mithali 22:3 imeandikwa "Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara." Desemba 27, 2021, Job Ndugai alitoa hutuba yake kuhusu Deni la Taifa...
  13. P

    PreGE2025 Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?

    Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla. Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na...
  14. PreGE2025 Askofu Gwajima karibu Chaumma kiti chako kipo empty kinakungoja!

    Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa! MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa CCM ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka...
  15. PreGE2025 Askofu Josephat Gwajima: Mimi ni Jasusi la Mbinguni. Fanyeni lolote, niko tayari kwa lolote, isipokuwa jambo moja tu, Sifi

    Sasa yamewadia majira na nyakati za watu kupata majibu ni kwanini Mch Josephat Gwajima aliiamua kuingia kwenye siasa za tawala za nchi hii kwa 100% tena kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM uamuzi ambao kila mtu alishangaa na kusema lake... Sasa umefika wakati wa kupata majibu yake... Kutoka...
  16. K

    PreGE2025 Tuseme ukweli: CCM kipo mbele ya muda sana na kinaenda na mabadiliko ya dunia

    Tuseme kweli na tusinyamaze kwa sababu kama tukinyamaza basi mawe yatasema na ukweli ni kwamba : 1. CCM ipo mbele sana ya muda kwenye maendeleo. CCM inabadilika na dunia inavyobadilika. 2. Mabadiliko ya kiuchumi ni nyenzo ya ukombozi kuliko mageuzi ya kisiasa katika Karne hii na CCM...
  17. PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

    Wakuu, Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani. Nyie huyu baba ana ujasiri! "Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa...
  18. PreGE2025 Wadau Watoa Tahadhari kuhusu Haki za Kidijitali kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    MASHIRIKA mawili makubwa yanayojihusisha na haki za kidijitali ya Paradigm Initiative (PIN) na Tech & Media Convergency (TMC) yametoa mapendekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kurejesha kikamilifu upatikanaji wa Mtandao wa X (zamani Twitter) na kujitolea kwa intaneti iliyo wazi na...
  19. PreGE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa: Ilani ya CCM imejibu mchakato w Katiba Mpya

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao. Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
  20. PreGE2025 Video: Kiongozi wa Kwaya ya Bunge alivyopokea kibunda kutoka kwa Rais Samia, Spika Tulia, Rais Mwinyi na Dotto Biteko

    Wakuu, Wataalamu wa mambo huyu jamaa hapa atakuwa ameokota kama kiasi gani hivi? Naombeni pia kueleweshwa, hii TAKUKURU hawaweizi kuiona kama rushwa? Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…