"Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, chagua anaestahili, sikiliza sera zao. Na sasa dakikia za mwishomwisho watu wameanza kujipendekezapendekeza hapana. Mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka sasa, haijawa haki watu wanyamaze kama mauaji yanatendeka, si yanatendeka, hatusemi wewe unayatenda, si...